Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Nimekuelewa sana Chuma...jembe letu.Mambo ya barakoa wapi na wapi...kwani tupo wote viwandani au tunafagia bara bara. KANYAGA CORONA ..KANYAGA MABEBERU.. KANYAGA UFIPA..KANYAGA...OHHO TWENDE KAZI
 
Kumbe wanao vaa barakoa ni woga na wanahofu..Logic.
Kanyaga twende mzee baba ..tumekumisi siku nyingi...RAIS WA WANYONGE TUPO NAWE
 
Safi sana Mh. Rais endelea kuchapa kazi mie nakuelewa sana​
 
Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Corona sio kwa ajili yetu, ni kwa ajili ya wenye uchumi wao huko, wanapigana huko sisi wanatutia hofu tu.

Kama kweli mbona hatujachukua tahadhari zozote and we ain't dying kama huko kwao.

Mchina na mmarekani wanajua wanachotafuta sisi tunabebwa mzobe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…