Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Kumbe yeye alijifungia kweli kuogopa korona.....ha ha ha ha
Natamani aje audabe
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani aje audabe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindwe na ulegee.
Kwanini usipigwe wewe?Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Dar utakaa wewe ?Huku dar hatumhitaji kama vipi aishie hapo Dodoma
Achana nao awa ndiyo maana walikufa na ka Corona ni watu wa kambi hiyo tu ya Ufipa.Usiache kwenye Corona Festival 24/05Leo ufipa ni vilio vimetanda, nimepita hapo muda huu huu.
Dogo kwan unasoma wapi? Hujafanya mitihan ya kumaliza form six? Pole sanaJamaa anahamasisha watu wasivae barakoa..
Sema afungue shule aiseeh
Niko form 5 kaka😂😂Dogo kwan unasoma wapi? Hujafanya mitihan ya kumaliza form six? Pole sana
Mtengenezee ile dawa yako umpelekee.Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Corona Haina akili za kumfuata mtu halafu imuoneshe yenyewe ni NiniKahutubia Singida muda si mrefu atakuwa Manyoni then Dodoma. Kaifuata Corona halafu anaiponda. Hii Corona ukiiponda ndo inakuja kukuonyesha yenyewe ni nani.
We muache corona itampiga dafrao 1 awaache ndg zake na huzuni.Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
Usiwaze utamaliza 2021Niko form 5 kaka[emoji23][emoji23]
Kumbe wanao vaa barakoa ni woga na wanahofu..Logic.Hakuna sehemu kawaambia wananchi wasivae barakoa, kasema wananchi waendelee kuchukua tahadhari sababu corona bado haijaisha lakini wasiogope, waondoe hofu, kawapongeza vile hawana hofu sababu wengi hawajavaa barakoa na sio kwamba wasivae barakoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mgeni rasmi huyo anaelekea Dar kwa ajili ya party yenu ya jumapili
Achana na wapiga kelele awa mkuu...Jembe katangulia mbele ..anatuonyesha njia. Kama W.H.O na US wamepiga salute wewe ni nani kumbishia jembe?
Corona sio kwa ajili yetu, ni kwa ajili ya wenye uchumi wao huko, wanapigana huko sisi wanatutia hofu tu.Anajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.