Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Daa naomba Rais akiingia bungeni asiguse kitu wala eneo lolote sina imani na mazingira ya mjengo ule
Hivi Rais huwa mnamchukuliaje??
Mkuu hiyo ni taasisi moja nyeti mno duniani kuna watu hawalali usiku na mchana kuhakikisha Rais yupo salama,heri wafe wao kuliko mkuu wa nchi,harafu unakuwa na mawazo siple tu namna hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaache haka kauza bia kanakelele za mabwana zake
Kwani uko na ugomvi na JPM? Na akipata Corona sababu ipi ya kufanya watu washangae ikiwa hao uliowataja ni maarufu huenda zaidi ya JPM nao wapeipata hiyo Corona. Sasa JPM ikiwa atapata Corona ndo iwe nongwa kwako, naye atapona kama walivyopona hao.
Binafsi sijawahi kumsikia JPM akiudharau huu ugonjwa zaidi ya kutuhamasisha tuchukue tahadhari lkn tuondoe hofu, na hata leo tu ametusisitizia kuchukua tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom