MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,148
Hivi Rais huwa mnamchukuliaje??Daa naomba Rais akiingia bungeni asiguse kitu wala eneo lolote sina imani na mazingira ya mjengo ule
Mkuu hiyo ni taasisi moja nyeti mno duniani kuna watu hawalali usiku na mchana kuhakikisha Rais yupo salama,heri wafe wao kuliko mkuu wa nchi,harafu unakuwa na mawazo siple tu namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app