Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

Fungua shule kwanza.
Ni muhimu shule zifunguliwe lakin hapo tahadhari kubwa inatakiwa itolewe kwanza,wizara itoe miongozo ya kuwakinga watoto wa shule/wana funzi /walimu vs covid19.

Nchi za wenzetu wamefungua shule lakini wamezingatia social distance wakiwa darasani , wanafunzi na walimu wote wana barakoa , wakiingia shule ni mwendo wa "SANTAIZA" kisha wanaingia kwenye Dude lile kama aliloleta Manji Bungeni wanapiliziwa Moshi/Fumes/Mvuke wenye dawa ya kuua bacteria/viruses , Je na sie tumejipanga au tunataka kuwapukutisha watoto/wanafunzi na wazazi wao?

Zanzibar wanagawa barako kwa wakazi wao wote ,Uganda wanatoa chakula kwa familia ,kenya tumeona wabunge/magavana wakitoa chakula kwa wapiga kura wao eg sonko,001 ila TZ sijaona hicho kikifanyika,kama wameshindwa basi wafanye hivyo kabla ya kufungua shule kama wenzetu wa nje walivyofanya walipofungua shule.
 
Subiri wiki mbili zijazo WHO watathibitisha hili kama ambavyo wamefanya hivyo kwenye issue za lockdown.
Je ,wajua? Kua Nicaragua, Turkmenistan, Estonia,Ujerumani, Sweden,Thailand wanaongozwa na huyu tulie mchagua?
Jembe si jembe?
Twende kazi...Wapinzani kaisomeni namba.
 
Kama dada kashakabwa na covid na kafa unadhani eneo hilo linafaa kwa maficho tena?
Brass band ifanyie rehearsal wimbo wa taifa😁😁
 
Hatari sana...duuh tena awa ndiyo washauri wa Serikali yetu MUNGU TUSAMEHE vitamini C Aisee sio D.
Ee Mola mtukufu, mwenye kutuneemesha kwa neema kubwakubwa na neema ndogondogo, tunakuomba utusikie sisi waja wako. Wafanyie wepesi wale watafiti wa chanjo na dawa, ili zipatikane kwa wakati huu kabla ya gharika hili la Covid 19 halijaimeza nchi yetu. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ,wajua? Kua Nicaragua, Turkmenistan, Estonia,Ujerumani, Sweden,Thailand wanaongozwa na huyu tulie mchagua?
Jembe si jembe?
Twende kazi...Wapinzani kaisomeni namba.
Maboya wa wazungu wanasubilia mpaka wazungu waongee ndipo waamini Sisi tunae mwana sayasi hapa na tuna muamini sababu hao wazungu wana lisubiria juwa kwa ham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni taarifa niliyoipata muda mfupi uliopita ila tusubiri muda utathibitisha.

Mliokula night za kutosha hongera zenu!!!
Nongwa hii
Katibu mkuu wa chadema Ester Bulaya,alisema chadema hamtaki kujua Rais yupo wapi,kumbe mpo mnamfuatilia tu
 
Kwahiyo jabza ya kufiwa na wazazi wako, tena wakiwa fukara kabla hawajaona mafanikio yako, ndo unaileta kwangu.

Kenge wa kijivu we!
Labda walikufa wakafufuka wako imara. Vipi wewe ulivyopoteza kwenye ukimwi huwa nakuhurumia sana na ww usipokuwa makini ngoma itakupeleka mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…