Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, Queen Elizabeth,mwanae Prince Charles, Prime Minister Boris Johnson, wote hao Covid -19 iliwatembelea na Duani ilipigwa bumbuwazi, huyu jiwe siku zake zinahesabika, watu hawataaminiHuyu lazima imshikishe adabu. Anaidharau sana.
Vitamin C kwenye jua hapana mkuu ni DBila jua hakuna vitamin C.
mtu wa kwanza kuhamasisha watu na viwanda vya ndani kushona barakoa kwa wingi ni yeye mwenyewe lakini cha ajabu ndo huyo huyo anahamasisha watu wasivae barakoa badala ya kuhamasisha watu waendelee kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, ili soko la barakoa liongezeke hatimae watu waliotumia gharama zao kushona barakoa wapate kipato na kurudisha gharama walizotumia.Bado hivyo viwanda vya ndani vinavyo himizwa kuanzishwa wakati huo soko la bidhaa zake linazidi kufifishwa na viongozi hao haoJamaa anahamasisha watu wasivae barakoa..
Sema afungue shule aiseeh
Raisi Trump na Raisi Msgufuli wana vitu vinafanana hawapendi kuvaa barakoa, wote wanahimiza watu warejee kazini pia.Wote waliudharau ugonjwa ulipopiga hodi .Mara nyingi wanatofautiana na wataalamu wa Afya.rejea kwa Trump nae hazitilii maanani hizi barokoa, hajawahi kuzivaa
Si mlisema kaikimbia kaenda kujificha,Kahutubia Singida muda si mrefu atakuwa Manyoni then Dodoma. Kaifuata Corona halafu anaiponda. Hii Corona ukiiponda ndo inakuja kukuonyesha yenyewe ni nani.
Siyo Mkapa!! Ni Mwenyekiti wa CCM wa mwaka 2015 ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu vile vile ndiye aliye leta majina 5 na la Jiwe likiwapoTanzania Imepatikana Aiseee!!
Mkapa ! Mkapa ! Mkapa ! Tulikukosea Nini Hasa Watanzania ?
Kwa JPM kuvaa barakoa ni nongwa!
Bila jua hakuna vitamin C.
Wewe utakufa na UKIMWI kwa tabia yako ya kubadirisha wanaume hivyo!! MmmmmmH.Huyu lazima imshikishe adabu. Anaidharau sana.
Hata Trump ameshakataa kuvaa Barakoa!Kwa JPM kuvaa barakoa ni nongwa!
😂😂😂😂😂😂😂