MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
Mbona muonekano na mavazi haviendani.👀👀🤔🤔🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona muonekano na mavazi haviendani.👀👀🤔🤔🤔🤔🤔
Lini mmeanza kumuita rais .lini mlimtambua kama raisHivi wewe una umri gani? Raisi kaongea kikubwa
Oyoooooo oyoooooooo jpmPIGA KELELE KWA MAGU AKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Unamtafuta ugomvi mama Jesca, maana sio kwa kuzijua hivyo siri za moyoni za mheshimiwa.Hivi wewe una umri gani? Raisi kaongea kikubwa
Kumbe naongea na mtotoUnamtafuta ugomvi mama Jesca, maana sio kwa kuzijua hivyo siri za moyoni za mheshimiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila jua hakuna vitamin C.
Vitamin C haitoki kwenye juaVitamin c . ukikosa mwanga wa jua
Usiogope Singida kuna wagonjwa watatu tu corona inaishaanawa expose wana usalama wetu na korona hawajavaa hata barakoa
Mtu yupo strong kabisa hata pushup anaweza kupiga.Kwenye gari anatembea na katoni ya dawa za Madagasca akishahutubia anazama anagonga wakati wananchi anawaambia wasivae barakoa
naam...kwemaa ukoMkuu
Mtaishia kumuangalia hivyo hivyo kama kwenye kideo[emoji3][emoji3][emoji3]Mnaweka breaking news wakati watu tunamuona tangia asubuhi akitokea Chato duh!
View attachment 1454982
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzanianaam...kwemaa uko
rejea kwa Trump nae hazitilii maanani hizi barokoa, hajawahi kuzivaaAnajiamini kweli hadi anaziponda Barakoa. Hajui Corona ni adui asiyeonekana. Atakuja kupigwa hatoamini.
It's DVitamin C haitoki kwenye jua
View attachment 1454980
Kama kuna chanzo cha huu utafiti(hii habari),basi mnaojua naomba mtujuze tukasome kwa undani.