LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kabla hatujakujibu, lipo swali lingine, Je ni Jukumu la Askari Magereza kufanya Doria mitaani?
Ndiyo maana kakamatwa,ana kesi,acha kuchochea chuki dhidi ya jeshi la polisi,haikusaidii wala husaidii nchi yako
 
Attachments

  • IMG-20241124-WA0037.jpg
    IMG-20241124-WA0037.jpg
    124.1 KB · Views: 2
Kumbe ni nani? Hivi huwa hamfundishwi Civics siku hizi?
Kuna askari polisi(jeshi la polisi), askari magereza (jeshi la magereza), askari uhamiaji,askari jeshi(tpdf)jwtz),askari wanyamapori na jeshi la mambo
 
Hivi kweli unaua mtu kwa shughuli ya uchaguzi wa serikali ya mtaa?...hivi huyo polisi aliempiga risasi huyu kamanda wa chadema akiangalia hayo mazishi anajisikiaje?......very sad indeed...
Alafu huyu Rais katulia kama sio issue...
Unyama sana huu...ndio maana Ruwaichi kaongea maneno ya busara sana ...mwenye akili na asikie...
 
Ndiyo maana kakamatwa,ana kesi,acha kuchochea chuki dhidi ya jeshi la polisi,haikusaidii wala husaidii nchi yako
Aliyeua ni Polisi ila chuki tunaambiwa sisi waombolezaji ndio tunaonekana tunasambaza chuki! Yaani jamaa yetu kauawa halafu hatutakiwi kusema chochote!

Eee bhana eee!! Huu utukufu mnaojipa mbona umezidi hata ule wa Yesu!!
 
Hivi kweli unaua mtu kwa shughuli ya uchaguzi wa serikali ya mtaa?...hivi huyo polisi aliempiga risasi huyu kamanda wa chadema akiangalia hayo mazishi anajisikiaje?......very sad indeed...
Alafu huyu Rais katulia kama sio issue...
Unyama sana huu...ndio maana Ruwaichi kaongea maneno ya busara sana ...mwenye akili na asikie...
Watu wa ccm waamini kwamba Nchi hii ni yao, Msikilize RPC wa Songwe, Sikiliza Amos Makalla, wanadhani Watakuwa viongozi milele, wana kiburi cha madaraka na Uzima
 
Back
Top Bottom