gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Ndiyo maana kakamatwa,ana kesi,acha kuchochea chuki dhidi ya jeshi la polisi,haikusaidii wala husaidii nchi yakoKabla hatujakujibu, lipo swali lingine, Je ni Jukumu la Askari Magereza kufanya Doria mitaani?
Kumbe ni nani? Hivi huwa hamfundishwi Civics siku hizi?Askari magereza ni polisi!?
Jibu swali acha ujinga!
Kuna askari polisi(jeshi la polisi), askari magereza (jeshi la magereza), askari uhamiaji,askari jeshi(tpdf)jwtz),askari wanyamapori na jeshi la mamboKumbe ni nani? Hivi huwa hamfundishwi Civics siku hizi?
Apige kura isaidie nini wakati mmewambia waltumishi wa serikali kuwa wahakikishe iddadi ya walio jiandikisha ndiyo idadi ya kura zitakazo pigwa hata kama akija mpiga kura mmojaHivi Lissu naye alipiga kura?
Shule za Kata ni majanga.Kwani KIKAO CHA kamati KUU hakikufanyika? Kama walivyotutangazia
Haya mambo Yako kikanuni na Wewe unajaribu kuyaingiza kwenye siasa zako uchwaraNaona umeamua kunywa kamasi
Aliyeua ni Polisi ila chuki tunaambiwa sisi waombolezaji ndio tunaonekana tunasambaza chuki! Yaani jamaa yetu kauawa halafu hatutakiwi kusema chochote!Ndiyo maana kakamatwa,ana kesi,acha kuchochea chuki dhidi ya jeshi la polisi,haikusaidii wala husaidii nchi yako
Watu wa ccm waamini kwamba Nchi hii ni yao, Msikilize RPC wa Songwe, Sikiliza Amos Makalla, wanadhani Watakuwa viongozi milele, wana kiburi cha madaraka na UzimaHivi kweli unaua mtu kwa shughuli ya uchaguzi wa serikali ya mtaa?...hivi huyo polisi aliempiga risasi huyu kamanda wa chadema akiangalia hayo mazishi anajisikiaje?......very sad indeed...
Alafu huyu Rais katulia kama sio issue...
Unyama sana huu...ndio maana Ruwaichi kaongea maneno ya busara sana ...mwenye akili na asikie...
Hapana askari magereza sio polisi ni mwanajeshiAskari magereza ni polisi!?
Ndio gharama ya kuongozwa na mtu mwenye uwezo mdogo, hawezi hata kujiongeza. Kila anachoshauriwa yeye kwake ni sawa tu.Imeandikwa historia mbaya sana kuuwana kwenye viuchaguzi vidogo vidogo kama vya Daruso 🐼
Ndo alisababisha kifo????Hivi Lissu naye alipiga kura?
Hao watukufu hawaguswi hata na MunguHizi ziwe juu ya Mchengerwa na mkwe wake
Mungu awalaani hawa watu kwa ukatili.Hizi damu za wote waliouwawa kwenye uchaguzi huu ziwe juu ya kichwa cha Mchengerwa na mkwe wake
Ndiyo ujue kuwa CCM imeishiwa ushawishi kwa wapiga kura hadi inatumia mbinu za kigaidi.Imeandikwa historia mbaya sana kuuwana kwenye viuchaguzi vidogo vidogo kama vya Daruso 🐼
Sasa hilo popoma kwa nini linamuita polisi,au ana shida tu na polisi!?Hapana askari magereza sio polisi ni mwanajeshi
Na laana hiyo iendelee vizazi hadi vizaziMungu awalaani hawa watu kwa ukatili.
Uchaguzi ni swala mtambuka 😀Ndio gharama ya kuongozwa na mtu mwenye uwezo mdogo, hawezi hata kujiongeza. Kila anachoshauriwa yeye kwake ni sawa tu.