LGE2024 Singida: Tundu Lissu aongoza mazishi ya Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa na Polisi kwa bunduki ya Serikali

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Aliyeua ni Polisi ila chuki tunaambiwa sisi waombolezaji ndio tunaonekana tunasambaza chuki! Yaani jamaa yetu kauawa halafu hatutakiwi kusema chochote!

Eee bhana eee!! Huu utukufu mnaojipa mbona umezidi hata ule wa Yesu!!
Aliyeua ni magereza punguani wewe
 
Sasa hilo popoma kwa nini linamuita polisi,au ana shida tu na polisi!?
Tatizo neno Askari, ndio maana utofauti unatakiwa kusema Askari polisi, na magereza anaitwa Askari magereza na jeshi anaitwa Askari jeshi
 
Mara hii imeshakuwa ameuawa na Polisi, siasa hizi ....
 
Si Chawa wenu walisema Yuko Marekani? Waulize Chawa.
Huyo mbwa hata kwao Kyela hawamjui kwao Kyela kajunjumele km unaenda Itungi poti hawamjui huyo nyumbani kwao kuna njaa km mm sasahv kukimbilia Uganda ndio yupo huko rudi hapa tz.halafu tuende kwenu kajunjumele
 
Usisahau Makada 6 wa CCM wameuawa
Hakuna hata mmoja aliyeguswa wacha uongo wa kipumbavu. Wanachadema waliouwawa wametajwa majina na mazishi yao tumeyaona hao wa CCM mbona hawatajwi na wamezikiwa wapi? Usishabikie mambo ya hovyo haya Makalla ni mjinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…