Chai na Uji
JF-Expert Member
- Jun 16, 2025
- 203
- 66
Hali si haliWatalogwa vibaya sana! usaliti ni laana
Usaliti ni laanaHali si hali
Kama kweli vileUsaliti ni laana
Sahihi kabisa Comrade. CCM sio Chaumma eti unaingia tu na kupewa uongozi.Makada CCM Mkoa wa Singida wawachana chana COVID-19 wahofia ya Gwajima wawakatibisha ila sio Kwa Ubunge.
Msikilize huyu kada
View attachment 3372088
Kazi wanayo COVID-19Sahihi kabisa Comrade. CCM sio Chaumma eti unaingia tu na kupewa uongozi.
Waonyeshe kwanza wamekuja na kukitumikia Chama kwanza.
Hao ni tamaa sababu wameharibu kwao. Hata huku wakikosa fursa watakimbia.
Bora viposho na vipensheni vyao vya miaka mitano,, wangeshauriwa kuweka UTT au government bond. Stress itakayowapata kwa kufilisiwa na wajumbe matapeli hawatasahau maishani.Makada CCM Mkoa wa Singida wawachana chana COVID-19 wahofia ya Gwajima wawakatibisha ila sio Kwa Ubunge.
Msikilize huyu kada
View attachment 3372088
Kama uvoko 19 ndio Wana ushawishi ndio wapige,Hawa Wengine ni wapambe baada ya kuona mabwana zao hawakubaliki.Makada CCM Mkoa wa Singida wawachana chana COVID-19 wahofia ya Gwajima wawakatibisha ila sio Kwa Ubunge.

Wamehamia CCM?Sahihi kabisa Comrade. CCM sio Chaumma eti unaingia tu na kupewa uongozi.
Waonyeshe kwanza wamekuja na kukitumikia Chama kwanza.
Hao ni tamaa sababu wameharibu kwao. Hata huku wakikosa fursa watakimbia.
Siku hizi buku 7 wanawawekea kwenye simu mapema alfajiri si ndio?Kama uvoko 19 ndio Wana ushawishi ndio wapige,Hawa Wengine ni wapambe baada ya kuona mabwana zao hawakubaliki.
COVID 19 wamekuwa wanakiwasha kweli kweli huko Singida
Ndio mkuu na ni buku 8Siku hizi buku 7 wanawawekea kwenye simu mapema alfajiri si ndio?
Imeongezeka buku kumbe? Sawa,zidisheni mashambuliziNdio mkuu na ni buku 8