Singida Wamenyimwa Goli halali na Mwamuzi wa Pembei

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.

Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?

Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
20231008_173219.jpg
 
View attachment 2775716
Aaahaaaaaaa

Wewe subiri waje Mashariki wa timu la CAF waje wakuzodoe
 
Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.

Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?

Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
View attachment 2775716
Ikiuma 'CHOMOA'
 
Endelea kuumia
 
Kwa nini uteseke wewe Utopolo, na waliofungwa ni Singida...?

Kunywa maji ukalale...😂😂
 
Back
Top Bottom