Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.
Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?
Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.