Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
AaahaaaaaaaNi muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.
Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?
Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
View attachment 2775716
Ikiuma 'CHOMOA'Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.
Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?
Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
View attachment 2775716
Endelea kuumiaNi muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.
Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya kuamua na kusimamia sheria za mpira wa miguu wanakidhi vigezo vya kutafsiri sheria?
Hili ni goli halali kabisa kabisa ila mwamuzi wa pembeni ameamua kulikataa.
View attachment 2775716
Endelea kutesekaOnyesha shuti la kwanza lesimeni alinyoosha bendera kitambo refa hakuona
Mwafrika na ukweli wapi na wapi sisi tunapenda uongo na ni wa-binafsi sanaEndelea kuteseka
Haitodumu mile,relaxNa juzi wao wamepewa la offside ya wazi kbsa
Endelea kuteseka
🤣🤣🤣 Moto Kwa moto🤒Na juzi wao wamepewa la offside ya wazi kbsa