Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

Pamoja na juhudi zako za kumkandamiza kauli ya Kinana bado tutasisitiza Traffic police pungueni barabarani, Hata mngekuwepo Kila baada ya km 1 bado ajali ingetokea sababu traffic wapo kwa ajili ya matumbo Yao tu
 
Traffic pungueni barabarani, hali ya maisha imekua ngumu watu hawana hela, hamtaki acheni kazi mkalime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…