TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.

Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.

Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.

Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.

Ajali zinatokea kwa sababu ya weakness za watu ikiwemo uendeshaji usiozingatia sheria, gari mbovu, miundombinu mibovu n. k. Hakuna kitu kinachoitwa mungu na hakijawahi kuwepo.
 
Makosa ya kibinadamu yanavyogharimu uhai wa watu!
Inasikitisha sana lakini pamoja na kumshukuru Mungu atoaye na kutwaa uhai ila tuchukue tahadhari, nafuu kufika kesho na uzima kuliko kutarajia kufika leo kisha usifikie.
Wajaliwe kupumzika kwa amani.
Hapo ni makosa ya watu ndo yanasababisha.Huyo mungu unaemtaja hayupo na hajawaikuwepo
 
Ina maana watu wa roli hawakuweka alama za barabarani kuonesha wamepaki? Zile triangles ama hata kuweka majani barabarani

May their souls rest in peace
 
It is true
Ukiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.

Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.

Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.

Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
Sure! Kuna mahali panazoeleka kwa ajali halafu ukipaangalia huoni tatizo la kijiografia.Wakati mwingine inakuwa ni madhabahu za miungu wa mkoa huo zipo hapo.
 
Kadri population inavyozidi kuongezeka, calamities na magonjwa yanazidi kuongezeka, hence vifo kila siku. Its a way of balancing population growth...

Ajali kila siku, pole sana kwa wafiwa.
 
R.I.P.
Zamani,nilipokuwa rubani jeshini hiyo 315 ndio ilikuwa namba yangu.
Rubani wa jeshi hawatumii majina,wanatumia namba. Sijui rubani wa uraiani wanafanya vipi.
Kwa hiyo ninapotaka kufanya take-off(ninapokuwa 'njia moja') namwambia control tower,"315 take-off".
[No doubt,sasa kuna mtu ataniuliza,'Ulikuwa pilot unaitwa '315',so what?"
Halafu narudi baadaye kufanya landing,namwambia control tower,"315 traffic pattern" Traffic Pattern ndio mwendo wa mzunguko airport,kabla ndege haijatua.
Actually,mimi ni mwanajeshi,napaswa miwa kule nawashuti m23
FB_IMG_1712676543633.jpg
 
Siku hizi ndio tunachelewa kunyaka taarifa kiasi hiki na hii era ya smati foni.

Wanazengo tunakwama wapi...
Nadhan what's app inachangia sana taarifa kuchelewa kuletwa humu, taarifa huwa zinafika huko kwanza
Mfano hii picha ya ajali mi nnayo toka saa moja asubuhi leo
 
Back
Top Bottom