Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Mungu mwema mkuu , atakuwa salama huko aliko..Aisee pleas mamlaka watoe taarifa kamili jamani na jina la basi
GUys mdogo wangu hapatikani kwenye sim ametokea kahama na gari ya 5 ahsubuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mwema mkuu , atakuwa salama huko aliko..Aisee pleas mamlaka watoe taarifa kamili jamani na jina la basi
GUys mdogo wangu hapatikani kwenye sim ametokea kahama na gari ya 5 ahsubuh
habari haifichwi ila marehemu wasitiriweNi sawa kabisa tukifichaficha hizi mambo za ajali kama hazipo ndo mbaya zaidi
Hii nchi ni ya ajabu sana,sheria ipo kabisa inayozuia upuuzi kama huu!!mtu ku record tukio la ajali na kuli post!!lakini hazina meno,wasimamizi wake hawana mudaKwa nini wanarekodi?
Kuna watu wanakufa kimya kimya na ajali, huku tukizani mambo ni shwali huko barabarani. 😑😑Ni sawa kabisa tukifichaficha hizi mambo za ajali kama hazipo ndo mbaya zaidi
Naona mamlaka waliamua kuikaushia kimya kimya...walipaswa kuficha sura za hao marehemu
na tarifa kamili itoke kwa mandishi kwenye vyombo vya habari vya uma
Kuna watu wana roho za fisi maji. Tena mtu anarekodi huku anaongea casual kama anasimulia tukio la harusi!Kwa nini wanarekodi?
Kuna watu ni kama mashetani. Unawapata wapi nguvu za kurekodi watu walioko kwenye hali kama hiyo?Oya hii video haijakaa sawa ungeweka tahadhari...
Hata hivyo hii ajali ilishatokea ni lile basi siku kadhaa zilizopita lilipata ajali huko kanda ya kati, ni lile basi la Mwanza Dar...
Active hii habari ya kuitoa tu hapa...