TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

Tushaisahau hii ajali unatukumbusha tena?
Walikufa watu 8 kwa mujibu wa mamlaka
 
Wapo radhi kununua ma v8 na sio helicopter za uokozi kipindi cha dharura
 
Zile bajeti waliyotenga kununua v8 36 si wanunue helicopter za uokozi zinatosha kila kanda angalau kuwawahisha madaktari haraka sehemu hzi wakati gari za wagonjwa zipo njiani
 
😭😭 kweli hakuna kitakachodumu daima.....Am speechless aisee🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Maisha ya binadamu ni kama ndizi , inazaliwa, inakua, inakomaa, inaliwa,..

Tuishi kwa kupendana na kumkumbuka mungu wetu muumba wa kila kitu katika dunia hii.
 
Maisha ya binadamu ni kama ndizi , inazaliwa, inakua, inakomaa, inaliwa,..

Tuishi kwa kupendana na kumkumbuka mungu wetu muumba wa kila kitu katika dunia hii.
Kabisa ndo maana maisha mafupi /kupanda na kushuka.
 
Hebu tuwe na ubinadam siyo kila kitu kinafaa kuchukuliwa video, huo muda mtu unaorekodi ni bora utumie kutoa msaada hii si sawa.
 
Taarifa haijakamilika rasmi, kama kuna yeyote atakaye pata updates zaidi, basi unaweza kutuletea taarifa iliyokamilika 🤝.

• MwenyeziMungu awaweke mahali pewa wale wote waliofikwa na umauti kwenye hiyo Ajali.

• MwenyeziMungu azidi kuwapa ustahimilivu kwa wale wote waliopata majerahaa sehemu mbali mbali za mwili..
Eeeeh Mungu wangu! Namshukuru Mungu nilishakula mapema.
Mungu awarehemu na kuwaponya hao wanaoomba msaada.
 
Taarifa haijakamilika rasmi, kama kuna yeyote atakaye pata updates zaidi, basi unaweza kutuletea taarifa iliyokamilika 🤝.

• MwenyeziMungu awaweke mahali pewa wale wote waliofikwa na umauti kwenye hiyo Ajali.

• MwenyeziMungu azidi kuwapa ustahimilivu kwa wale wote waliopata majerahaa sehemu mbali mbali za mwili..
Hakuna kikosi cha uokoaji na vifaa hakuna, pesa wanatumia kwa anasa kwa kununua magari ya kifahari na safari zisizo na tija
 
Back
Top Bottom