Single Father anahitajika

Single Father anahitajika

Hujasema dini. Wala watoto wako wana umri upi wala kama wanaishi na wewe bado. Tena hujasema age-bracket (yaani mwisho umri gani- hata kama wa Profesa Kapuya?)
 
Habari zenu watu wote!
Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile)
Umri kuanzia miaka 40+
Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
Uko tayari kupima HIV?
 
Mipunga unayo??? Kama una hela kama Zari naamini hutakosa mchapakazi mmoja kutoka Kino clein 😂😂😂! Ajira ngumu mjini vijana wanaolewa.
 
Kila la kheri mkuu, kuwa na subira utapata hitajio lako
Kwa kifupi unataka kumwambia umenawa mikono. Subiri ufikishe miaka 20 ndo uanze kufikiria haya mambo ya wakubwa
 
Mapenz sio Umri,
Mimi Ni kijana Nina Miaka 26,
Sijaowa wala Sijazaa
Maana Cwez kuwa na watt nje ya ndoa takatifu...
Ni kazi yangu na Maisha yangu.
If ur interested with me: 0657 230355.
 
Kwa kifupi unataka kumwambia umenawa mikono. Subiri ufikishe miaka 20 ndo uanze kufikiria haya mambo ya wakubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nile ujana kwanza Babu
 
Nitumie picha PM. Please ukiwa mzuri tu namaliza hii kesi
 
Back
Top Bottom