Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Big up dada kuleta hii mada, kwani jamii imekuwa ikiona single mother/Wadada wenye mtoto kama wakosefu eti tu kwa kuwa wamepata ujauzito; wanasahau kuwa kuna wazinzi wakupitiliza wapo mtaani na wanaonekana kuwa ni bora eti kwa kuwa tu hawana mtoto.

Kwa mtazamo wangu wadada wengi wenye mtoto (kabla ya ndoa) ni decent na wengi wao ujazito wameupata kwa kukosa uzoefu wa kuruka vihunzi tofauti na wale wengine wa viwanja
Angalizo: Sijasema wadada wazae kabla ya ndoa; Mungu hapendi ila ikitokea bahati mbaya, watubu na maisha yaendelee
 
Big up dada kuleta hii mada, kwani jamii imekuwa ikiona single mother/Wadada wenye mtoto kama wakosefu eti tu kwa kuwa wamepata ujauzito; wanasahau kuwa kuna wasinzi wakupitiliza wapo mtaani na wanaonekana kuwa ni bora eti kwa kuwa tu hawana mtoto
Kwa mtazamo wangu wadada wengi wenye mtoto (kabla ya ndoa) ni decent na wengi wao ujazito wameupata kwa kukosa uzoefu wa kuruka vihunzi tofauti na wale wengine wa viwanja
Umenena, acha wahisi mtaani kuna mabinti kumbe ni wakongwe wa kutoa mimba ni kina mama wa marehemu Wa watoto kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila mtu anaweza akawa single mother inahitaji mtu strong confidence akili timamu tunapitia mengi, kusemwa kuonekana hatuna thamani lakini yote tunayapita na jinsi Mungu si athumani watoto wetu wana akili yaan all the blessing ni sisi.
 
Back
Top Bottom