ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
asante friendPole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante friendPole sana
Single mother-kijana mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]am here
Am so sorryam single faza,mwanangua ametimiza two yearz juzi tu..mamake alifariki wakati anajifungua akabaki mwanangu.
poa nambie broSingle mother kijana mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]
Asante rafikiam so sorry
Pole sana, Mungu atamkuza katika hekima na kimo piaam single faza,mwanangua ametimiza two yearz juzi tu..mamake alifariki wakati anajifungua akabaki mwanangu.
Asante sana..ameen
Hadi raha ur a good dadMleta mada anataka tushirikishane changamoto ila naona wengi mmeenda nje ya mada. Am single dad with two kids mkubwa ni wakike mdogo ni wakiume, changamoto kubwa naipata kwa huyu wa kike hapendi kula kabsa tangu akiwa mdogo now ana 5 yrs, kuna wakati ili ale inabdi nimuimbie wimbo anaoupenda ndio atakula na hapo mpatane idadi ya vjiko atakavyokula na inabdi nitumie ujanja wa kuchota kijiko kilichojaa vzuri ili angalau ashibe. Then ni mtoto wa baba kwelikweli nikiwa safari au nikichelewa kurudi toka kazini anaweza kugoma kabsa kula mpaka nirudi so nikiwa safari inabdi nipge sim kabla ya saa za kula niongee nae na kumuhaidi kumletea zawadi nzuriii kwa maelewano kuwa asipokula simletei zawadi.
Huyu mdogo issue ya kula hasumbui kabsa kila msosi anagonga ila shida yake ni ubabe 2 yrs now ila ni bondia wa hatari,hapendi mtu ashike kitu changu chochote,huyo hana muda na mimi ila nikikaa wiki moja bilakua home basi akiona mwanaume yoyote yeye anaita baba! !!
For sure am happy with my kids, wao kwangu ni kilakitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhhhhh hii katika zote imeniuma pole single parent mwenzanguam single faza,mwanangu ametimiza two yearz juzi tu.
mamake alifariki wakati anajifungua akabaki mwanangu.
Rip mamakamal.
Bora sisi kuliko nainategemea sio kila single parents alioa au kuolewa ndoa ikamshinda HapanaMangwala bhana kwa kujifariji tuuh hawajambo..!
Street teacher
Nimependa vituko vyaoMleta mada anataka tushirikishane changamoto ila naona wengi mmeenda nje ya mada. Am single dad with two kids mkubwa ni wakike mdogo ni wakiume, changamoto kubwa naipata kwa huyu wa kike hapendi kula kabsa tangu akiwa mdogo now ana 5 yrs, kuna wakati ili ale inabdi nimuimbie wimbo anaoupenda ndio atakula na hapo mpatane idadi ya vjiko atakavyokula na inabdi nitumie ujanja wa kuchota kijiko kilichojaa vzuri ili angalau ashibe. Then ni mtoto wa baba kwelikweli nikiwa safari au nikichelewa kurudi toka kazini anaweza kugoma kabsa kula mpaka nirudi so nikiwa safari inabdi nipge sim kabla ya saa za kula niongee nae na kumuhaidi kumletea zawadi nzuriii kwa maelewano kuwa asipokula simletei zawadi.
Huyu mdogo issue ya kula hasumbui kabsa kila msosi anagonga ila shida yake ni ubabe 2 yrs now ila ni bondia wa hatari,hapendi mtu ashike kitu changu chochote,huyo hana muda na mimi ila nikikaa wiki moja bilakua home basi akiona mwanaume yoyote yeye anaita baba! !!
For sure am happy with my kids, wao kwangu ni kilakitu
Sent using Jamii Forums mobile app
asante doris.
Mwanao ana miaka mingapi?Mimi niolewe nisiolewe nashukuru Mungu kanibariki kanipa mtoto mzuri Wa kike Jamani roho yangu,ndio mama yangu kiukweli sijutii kuwa Na Huyu mtoto Mungu amkuze vyema kunawaliobarikiwa kuolewa harusi kubwa tu zakifahari ila mpaka sasa hawajapata mtoto kuwa Na mtoto nikitu kimoja cha bahati kuolewa nisheria kuzaa ni majaaliwa ndoa nyingi zinatetereka kisa mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app