Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Jamani Kama Kuna single mom Basi njoo tuyajenge nami no single dad ninaishi Dar es salaam,upeweke umenichosha njoo kipenzi.
 
Tunachokipitia sio rahisi MTU ambae hana situation kama yetu kikielewa

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
Kabisaaaaaaa yaan watu sijui uwa wanaiman ipi Tena kwa mwaume akisikia mwanamke ana mtoto au watoto daaah

Embu mtwambie uwa mnawaza nn mkisikia kau iyo

SIJAOLEWA NINA MTOTO
 
Daah kweli dunia duara. nikikumbuka wadada walivyokuwa wanatunyanyapaa kwenye ile foolish age kwa kutudisi sie wa age yao na kuwapapatikia mahendsam na wenye nazo hata km wamewazidi umri ...daah siwezi kusahau. leo wamekula kibuti wameachiwa mbegu wanalialia eti ooh masingo maza tunahtaj faraja nyambaff.. kweli mungu analipa hapahapa duniani.
 
Aiseeee
 
Sema miaka yetu neno kudate halikuwepo mkuu
Ila nilikuwa nnaona namna vijana mnavyoteseka miaka yenu
Oh mimi siwezi kudate na boy wa umri wangu
Leo mariamu yuko kwao lindi analima mihogo
Huku mwaj yuko manzese anauza vichwa vya kuku na watoto wawili wasio na ufahamu alipo baba yao aliye hai
 
Back
Top Bottom