Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single mother wanajielewa sana tena ukimpata mshikilie ni wajenzi wazuri wa familia maana anakua kapitia mengi, kama yuko mmoja aje hapa nioe kabisa kwa ndoa awe hata hajasoma mimi sijali, awe hana kazi sijali
 
Ukweli hubaki ukweli daima

Sio wote ni uzinzi ila unajivunia lipi hasa!!!Mtoto kukosa malezi ya mzazi mmoja?Kulea kwa kujiona mbabe?
Uko vizuri kukosoa
Nimeona mengi mpka hapa unaolewa vizuri ila mwanaume anakuacha na watoto ikumbukwe wew sio tatizo hapo
Meingine kazalishwa kwa mapenzi yote kisha mume kakimbia
Meingine kakanwa mtoto
Na waliobakwa je nao ni uzinzi!?
Aiseh makosa yapo lakini kuna machaguo mawili kuendelea kujiona mkosaji uishi ukijuta maisha yako yote au uamue kusonga mbele ujifunze kwa yaliyotokeana uendelee kufurahia maisha.
 
im single faza aged 39
nina mtoto mmoja tu na ninashughuli zangu za kuniingizia kipato
nahitaji single maza awe Muslim
 
Back
Top Bottom