Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Ni

Niko hapa single mama mtoto wa kiume 2years sio tegemezi kama upo single father unaejitambua twende kazi. Hahaaaaaa
We jamaa mwanaume kwanini unadanganya sasa,au unawaonea wivu wanawake wakiliwa na wewe unataka ujaribu
 
Hii akili mungekuwa nayo kabla ya kuzaa mungekuwa mbali mno..! Tumikieni matokeo ya uzembe na ujinga wenu hasa ambao hamjafiwa na wenza wenu..!
Sasa ujinga wetu wewe unakuwasha nini kama sio genye? Umeitwa huku? We singo faza au single maza au kimbelembele ndo kimekuleta kucomment kwenye nyuzi isiyokuhusu?
 
Majaaliwa hayo leo mwanao utainjoy Mola akijaalia.

Nimelelewa na mother apa
Hata wengine wanaowaona single mom humu kama mashetani utakuta wamelelewa na mama zao tena kwa shida ila wakija huku ndo wa kwanza kuwadharau single moms. Mimi kama moyo wangu umeridhia hata mpuuz gani aongelee lake hanitii simanzi sana sana ntampa pale limuingie. Mpende mama yako si unaona huku sisi tunavyonyanyasika eeh? Ila wala hatuwachukii watoto wetu tunapambana nao hivyo hivyo
 
Usbishane na watu humu kauli ikiwa mbovu ipishe hutoboki mahala.

Mama angu nipo nae vere weli
 
Back
Top Bottom