Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Single fathers and mothers njooni tujenge familia

Ebu chukulia na wewe usingepata fursa ya kumjua baba yako kama unavyomficha mwanao ungejisikiaje?
Sijamficha mwanangu kumjua baba yake. Baba yake huwa anakuja mara chache kumuangalia mtoto na sijawahi kumkatalia hata kama anasumbua kwenye matumizi ila akija huwa namkaribisha amuone mtoto wake kwa moyo mmoja.
 
Haka kakwangu kakubwa zaidi. Nahofia katammemenda kama Zari anavyombemenda Platinamz
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]. Ndo vizuri amkuze bby wake mwenyewe sio Zari kamchukua diamond keshatumika na kina Wema Wolper.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]. Ndo vizuri amkuze bby wake mwenyewe sio Zari kamchukua diamond keshatumika na kina Wema Wolper.
Basi sawa mkwe. Anza kabisa mipango ya mahari nikukabidhi kifaa cha haja
 
Ni
Guys habari zenu,natamani single parents tukutane hapa tuzungumze na tujengane na wengine waunge undugu waunganishe familia,single+single waweza get1 pair[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12].

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
Niko hapa single mama mtoto wa kiume 2years sio tegemezi kama upo single father unaejitambua twende kazi. Hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom