mpare wa milimani
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 293
- 301
Karibu mwenzanguNimefika..... Single mom
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Tunachokipitia sio rahisi MTU ambae hana situation kama yetu kikielewaGood thinking
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Tutafutanee aseeNimefika..... Single mom
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Asante Sana, kwanza majukumu ya single mom akipewa single dad hayaweziSingle mom nawapenda sana mbarikiwe.
Umenena, acha wahisi mtaani kuna mabinti kumbe ni wakongwe wa kutoa mimba ni kina mama wa marehemu Wa watoto kibao.Big up dada kuleta hii mada, kwani jamii imekuwa ikiona single mother/Wadada wenye mtoto kama wakosefu eti tu kwa kuwa wamepata ujauzito; wanasahau kuwa kuna wasinzi wakupitiliza wapo mtaani na wanaonekana kuwa ni bora eti kwa kuwa tu hawana mtoto
Kwa mtazamo wangu wadada wengi wenye mtoto (kabla ya ndoa) ni decent na wengi wao ujazito wameupata kwa kukosa uzoefu wa kuruka vihunzi tofauti na wale wengine wa viwanja
Safi and your proud of having those blessingNiko na vitoto viwili vya kiume, mama tofauti na vimepishana miezi 5.
Lkn bado mimi ni single baba bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaswaaTunachokipitia sio rahic MTU ambae hana situation kama yetu kikielewa
Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
AmiinSingle mom nawapenda sana mbarikiwe.
Mkuu hongera kwamtotoBora hao kuliko matasa na wagumba walioko kwenye ndoa zao.
RubiiKimimi[emoji85]