queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 430
Miaka 18 unakuwa haujakomaa kiakiliAaaaah umeniudhi
Umri wa mtu mzima ni miaka 18+ sasa inakuwaje unaanza umri mkubwa zaidi ?
Aaaah.... kwa hiyo kuanzia 25 ndiyo unakuwa umekomaa kiakili ?Miaka 18 unakuwa haujakomaa kiakili
Wapi tunakutana?Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha kufarijiana na pale mwanachama anapokiaga chama tutashiriki sherehe yake na kumfurahia.
Karibuni jamani!
kwahiyo le mutuz kakomaa akili sio? na miaka yake ile.Miaka 18 unakuwa haujakomaa kiakili
Wnatuonea eeeh under 20Kwanini 25 kuendelea?
Asa mi nakuja tuone kama mtadai cheti
Wababa jina au Wababa wingi wa baba?Mbona sioni wababa wakichangia huu uzi.....[emoji45] [emoji45]
MeWababa jina au Wababa wingi wa baba?
Tupo... sema mim sio single ila sapoti nitawapa
Bora ya wewe aiseeee.......Tupo... sema mim sio single ila sapoti nitawapa
Wanatuonea kweliWnatuonea eeeh under 20
Kwani upo hivyo ulivyosema?Wanatuonea kweli
Sisi wenye 20 wanadhani hatuna machungu ya kuwa single[emoji17]
Kuwaje?Kwani upo hivyo ulivyosema?
Chingo.Kuwaje?