Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana hapa aseeChingo.
Natamani kuwa chingo ila siwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana hapa aseeChingo.
Huo ni ugonjwa unatakiwa uukemee[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana hapa asee
Natamani kuwa chingo ila siwezi
Hahah naanza maombi leo nikilalaHuo ni ugonjwa unatakiwa uukemee
Khaaah. ..maombi ya nini sasa na haupo chingoHahah naanza maombi leo nikilala
Ili nikiachika niweze kuvumilia kuwa chingoKhaaah. ..maombi ya nini sasa na haupo chingo
Ila wanawake ukiwa mzuri kuwa single unajitakiaIli nikiachika niweze kuvumilia kuwa chingo
Mtu yoyote kuwa single ni kujitakia sio mwanamke tuIla wanawake ukiwa mzuri kuwa single unajitakia
Hahaha!!! Yaan umeniwahi nilitaka kusema kitu hicho hicho piakwahiyo le mutuz kakomaa akili sio? na miaka yake ile.
Sasa kama mdomo mzito au hautongozwi utafanyejeMtu yoyote kuwa single ni kujitakia sio mwanamke tu
Kwani wamfanania huyo kwa kwenye DP?Wanatuonea kweli
Sisi wenye 20 wanadhani hatuna machungu ya kuwa single[emoji17]
Mmh!tatizo hiloSasa kama mdomo mzito au hautongozwi utafanyeje
Sure ila utafanyaje sasa.Mmh!tatizo hilo
Wa katika avatar ni kama mimi rapperKwani wamfanania huyo kwa kwenye DP?
Itabidi nibaki mwenyeweSure ila utafanyaje sasa.
Wewe mmama?Mbona sioni wababa wakichangia huu uzi.....[emoji45] [emoji45]
Kwanini 25 kuendelea?
Asa mi nakuja tuone kama mtadai cheti
Pigia mstari aiseeee....w
Wewe mmama?
Watoto watatusumbua [emoji2] [emoji2]Aisee...tunakuja na watoto wetu au sio