[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daby wewe,najiandaa na party mwenzio!Mama wa S 4 nakuona
Hapana msije! Tunataka tuwe wenyewe tu ili iwe rahisi kushare experience za usingle lol!Hivi tulioko in relationship tunaweza Kuja ( Bila wenza) lakini...
Yule ni jirani yanguNipo single aisee,Asprin simjui namuonaona tu hapa jukwaani
Oooh! Kumbe jirani yako,msabahi. Nawakaribisha pasaka tupate mbili tatu![emoji12] [emoji12] [emoji12]Yule ni jirani yangu
Mzee mwenzangu
Swahiba
Mtumishi mwenzangu
Mnywaji mwenzetu.
Aliniambia eti wewe shemeji yangu.
Haha hiyo lazima... tutie barakaOooh! Kumbe jirani yako,msabahi. Nawakaribisha pasaka tupate mbili tatu![emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huu ni ubaguzi SasaHapana msije! Tunataka tuwe wenyewe tu ili iwe rahisi kushare experience za usingle lol!
Mmmh! Hizo sadaka sidhani kama zitaiona keshoHaha hiyo lazima... tutie baraka
Atakuja hapa muda sio mrefu nimemwacha anahesabu sadaka
Pole,kata kushoto ndo kuna wenzio hukoAaagggrrr nimepotea kumbe huku kwa masingle
Sio ubaguzi,na nyie andaeni yenuHuu ni ubaguzi Sasa
Haha hili swali naomba nijibu tukiwa bia ya tatu kwa kweliMmmh! Hizo sadaka sidhani kama zitaiona kesho
Akili ikishachangamka sio!Haha hili swali naomba nijibu tukiwa bia ya tatu kwa kweli
ExzakliAkili ikishachangamka sio!
Mbona siwaoni ssPole,kata kushoto ndo kuna wenzio huko
Hahaaa wakimbilie watakuwa wamefika mbali kidogo.Mbona siwaoni ss
Nimechoka send tenaHahaaa wakimbilie watakuwa wamefika mbali kidogo.
Basi rudi zako nyumbaniNimechoka send tena