Mkuu unavamia shoo ambayo haikuhusuTupo... sema mim sio single ila sapoti nitawapa
Nitakuwa DJ mkuu.... wao si watakuwa wanamingoana huko chiniMkuu unavamia shoo ambayo haikuhusu
Hawakuomba sapoti yako nakushauri kaa pembeni
Wahojiwe wenyewe waamueNitakuwa DJ mkuu.... wao si watakuwa wanamingoana huko chini
Mkuu mbona unaniwekea tege nisiingie humo aseeh au tuna ugomvi ndugu? Kwanini hunitakii mema ndugu yangu lakiniWahojiwe wenyewe waamue
Huna jema lolote humo zaidi unaenda kuongeza idadi ya Single humo [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]Mkuu mbona unaniwekea tege nisiingie humo aseeh au tuna ugomvi ndugu? Kwanini hunitakii mema ndugu yangu lakini
Basi wew njoo umchukue mjukuu wangu fulani naye yupo singoHuna jema lolote humo zaidi unaenda kuongeza idadi ya Single humo [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4]
Bila shaka muandaaji wa tukio hili ana lengo la kupunguza idadi ya single [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Mimi sitahudhuria tukio hilo kwa sababu vigezo vimenitupa njeBasi wew njoo umchukue mjukuu wangu fulani naye yupo singo
Pole mkuu.. ngoja niendelee kuomba nafasi kama nitapata basiMimi sitahudhuria tukio hilo kwa sababu vigezo vimenitupa nje
Mimi sitahudhuria tukio hilo kwa sababu vigezo vimenitupa njeBasi wew njoo umchukue mjukuu wangu fulani naye yupo singo
Pole mkuu.. ngoja niendelee kuomba nafasi kama nitapata basi
Wewe Ke? Jibu yes au No.Mimi sitahudhuria tukio hilo kwa sababu vigezo vimenitupa nje
Nishakukataza mbona king'ang'anizi ?
Bebe unaniita totoo unataka kuninyima nini?[emoji17]Hatutaki totoo zije kwenye party ya watu wazima![emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi nina19ila nimekomaa kiakili huenda zaid yakoMiaka 18 unakuwa haujakomaa kiakili
Bebe totoo kutamani dyudyu umri mdogo hivyo ndo nini??[emoji17][emoji17][emoji17].......kwa nini usisubiri umalize kwanza shule?[emoji1][emoji1][emoji1]Bebe unaniita totoo unataka kuninyima nini?[emoji17]
Haha haha hahaha duuuh.... umenifurahisha sana swali lakow
Wewe mmama?