Single fathers, mothers and all singles get together party

ikifanikiwa kufanyika mara 5 mfululizo bila malalamiko mtu kachukuliwa bwana wake mnialike niwachangie
 
Kwanini 25 kuendelea?
Asa mi nakuja tuone kama mtadai cheti
wana nia nzuri tu usiende tafadhari bado unafursa zaidi yao wasije wakakuambukiza kiburi na mashauzi waliyoyafanya na matokeo yake wakapoteza wachumba na mwisho waume hivyo usiende tafadhari!
vinginevyo utakutana na vimeo lazima wakuuze na kwa kuwa wewe sio mzoefu lazima uingie kingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…