Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Swahiba nipe muhtasari... file??Haha hiyo lazima... tutie baraka
Atakuja hapa muda sio mrefu nimemwacha anahesabu sadaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swahiba nipe muhtasari... file??Haha hiyo lazima... tutie baraka
Atakuja hapa muda sio mrefu nimemwacha anahesabu sadaka
Kuwa na amani mtumishi. Sadaka ziko mikono salama. Ingekuwa chura labda hapo ungeweza kunitilia mashaka kidogo...Mmmh! Hizo sadaka sidhani kama zitaiona kesho
Swahiba hili file bado hata halina wino ni sawa na passport mpya.Swahiba nipe muhtasari... file??
Haha..Kuwa na amani mtumishi. Sadaka ziko mikono salama. Ingekuwa chura labda hapo ungeweza kunitilia mashaka kidogo...
Mtumishi kwani wewe mngoni? Maana watani zangu hao ndo nasikia ni waaminifu sana kwa pesa ila sio kwa 'mwananke'Kuwa na amani mtumishi. Sadaka ziko mikono salama. Ingekuwa chura labda hapo ungeweza kunitilia mashaka kidogo...
Hapana mi si mngoni. Mimi kwa mwanamke ni mwaminifu ila kwa vyura... labda itokee tu.Mtumishi kwani wewe mngoni? Maana watani zangu hao ndo nasikia ni waaminifu sana kwa pesa ila sio kwa 'mwananke'
kwahiyo le mutuz kakomaa akili sio? na miaka yake ile.
Labda alikua ana meet Instagram fans wake,maana ndo zake.colietha , dah nimecheka mpaka mbavu zinauma, kwa hiyo hicho kigezo cha miaka 18 ndio umeamua kukiua kwa style hiyo
Nimekumbuka picha moja yuko katikati ya msitu wa visichana na vijana wadogo sijui ilikuwa ni concert ya wanafunzi au Fiesta
Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha kufarijiana na pale mwanachama anapokiaga chama tutashiriki sherehe yake na kumfurahia.
Karibuni jamani!
Inakuhusu?Iitafanyikia wapi??
Watoto watatusumbua [emoji2] [emoji2]
Inakuhusu?
Yule ni jirani yangu
Mzee mwenzangu
Swahiba
Mtumishi mwenzangu
Mnywaji mwenzetu.
Aliniambia eti wewe shemeji yangu.
TehVina /u/
Teh
Mambo....chakorii
Mie mzima umeadimikaPoa aiseeh..mzima
Mie mzima umeadimika
Yes, sureMaisha yanafanya tunakuwa adimu mkuu.
Hata wewe umeadimika kweli
Yes, sure
Hope upo ok lkn