Single Ladies

Single Ladies

Elimu ya mahusiano ifundishwe mashuleni naona dini siku hizi zimeacha wajibu huo.
Thus wengi wanakurupuka wanaongozwa na nyege badala ya maana halisi ya ndoa.
Hayupo mwanaume amfatae mwanamke jinsi alivyo wengi ni lazima chambo au ulimbo kumpata mwanamke chambo ni gia ya kazi,gari, usmart,nk ambavyo hivi ni temporary material things tu sio vya kudumu
 
Utanipeperushia ndege zangu wewe!.. ushindwe katika jina la baba toka,toka pepo la ndoa usinitie doa!,nakung'ata kwa mamlaka,mijeledi ya nguvu ikapige mapengo yako!.. uwa baba,kata baba,kamata huyu dada mtie kwenye ndoa aache kuhubiri haya ahangaikie ndoa yake asipeperushe ndege zangu,aache na kiherehere tokaaaaaaaaaa...!!
😂😂😂Mie nimekuwa Pepo tena
 
Natumaini mko poa
Kiukweli wakat nakua kua nilikuwa nawaona watu wako pamoja nikawa nahis mambo ni rahis sana huko ndoani
Kiukweli hali ni mbaya sana na ndoa nyingi za umri wetu zinapumulia mashine zingine zikiwa hazina hata mwaka hali inaogopesha sana
Tuwe makini makini sana wakat tunafanya maamuz haya

Kwanza Jali hisia zako wanaume wa ovyo ni wengi usijilazimshe usiolewe na Omary akili ipo Kwa juma ni kujitafutia matatizo

Unapofanya maamuz ya kuingia huko hakikisha akili imekubali kuwa utakuwa mke na sio kichwa Cha nyumba ukubali kuwa mama wa familia,maisha ya uboyfriend ni tofaut na ndoa

zile outing 10 Kwa mwez zitashuka had kua 3 Kwa miez miwili,ukubali utayajua mapya mengi usiyojua wakat wa uhusiano wenu ukubali familia zimeungana kma familiayenu mlikuwa kumi bas mna team ya pili imeongezeka jiandae kisaikolojia kukutana na watu wapya wenye tabia tofaut na ulizozoea

Usiolewe sababu ya presha ya umri na show off za mitandao na kuwarusha roho maex wako ndoa Haina mbwembwe zote hizo na sherehe Huwa ni siku moja lakin ukija kugundua upo na mtu asie sahihi majuto Huwa makubwa Zaid

tusiolewe sababu ya Mali na status ya mtu angalia mtu ambae anavision angalau mkiungana mnaweza kufanya kitu na mkawa vizuri,mwanaume mwenye pesa nying kuthamini upendowako ni asilimia 30,Mali huisha ila ukiwa na mtu mwenye utu hata wakat wa mnapitia shida maisha yataendelea kuwa na amani

usiache kupanga na kujitafuta Kwa kusubiria uolewe Anza kujitengeneza kutunza pesa zako mwenyew kufanya mambo ya maendeleo hta Kwa icho kidogo hata mwanaume akija anajua anakuja kuoa mwanamke ambae alijua maana ya kuwa mwanamke

usiolew na mtu ambae unajua kabisa tabiazake zinakukera na huwez kuvumilia huko ndoani mambo ni tofaut,usiseme atabadilika mbele ndugu watu hawabadilishwi kma ni Malaya mlevi muongo tegemea hayohayo na Zaid huko mbele

Pia tukubali hakuna mkamilifu.tusameheinapowezekana hatuna namna ya kuescape haya ndo tushaumbwa wanawake

la muhimu tusali/tuswali sana hasa Sala za usiku omba Mungu akuonyeshe ya Siri usiyoyajua kuhusu huyo mwanaume wako,Allah atuvushe salama na tuwe vijana wenye kheri na wazazi wazuri hapo badae
Ujumbe mzuri sana. Lkn ukiongea hivyo mbele ya walioolewa utasikia naye anajifariji kwa sababu hajaolewa ni ukweli usiopingika. Asante kwa ujumbe mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri sana. Lkn ukiongea hivyo mbele ya walioolewa utasikia naye anajifariji kwa sababu hajaolewa ni ukweli usiopingika. Asante kwa ujumbe mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunavitu vikowazi kabisa haviitaji PhD kujua
Nafikiria kuingia uko nitakuja kutoa ushuhuda😂😂😂2030 nikiwa hai
 
Back
Top Bottom