Single Ladies

Elimu ya mahusiano ifundishwe mashuleni naona dini siku hizi zimeacha wajibu huo.
Thus wengi wanakurupuka wanaongozwa na nyege badala ya maana halisi ya ndoa.
Hayupo mwanaume amfatae mwanamke jinsi alivyo wengi ni lazima chambo au ulimbo kumpata mwanamke chambo ni gia ya kazi,gari, usmart,nk ambavyo hivi ni temporary material things tu sio vya kudumu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mie nimekuwa Pepo tena
 
Ujumbe mzuri sana. Lkn ukiongea hivyo mbele ya walioolewa utasikia naye anajifariji kwa sababu hajaolewa ni ukweli usiopingika. Asante kwa ujumbe mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri sana. Lkn ukiongea hivyo mbele ya walioolewa utasikia naye anajifariji kwa sababu hajaolewa ni ukweli usiopingika. Asante kwa ujumbe mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunavitu vikowazi kabisa haviitaji PhD kujua
Nafikiria kuingia uko nitakuja kutoa ushuhudaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚2030 nikiwa hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…