Single Ladies

Mpaka sasa home team inaongoza 4-0 1st half. Team ya kataa ndoa sijui kama watapata la kufutia machozi au kufanya comeback. Ngoja nione
 
Ushauri wa nyingeza,hakikisha unafahamu angalau 80% ya tabia za mwenza wako-kaeni kwenye uchumba hata 6 months au mwaka.
Tabia ni kama ngozi ya mwili haibadiliki.
 
Sehem kubwa umeshauri upande huo ila nnachojua kwa sasa huo upande ni sikio la kufa

Wataishia kulaumu upande ule ila hizi haki ndo chanzo cha kuwaharibia maisha ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…