bestchoicetz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2023
- 383
- 875
Duh....Utanipeperushia ndege zangu wewe!.. ushindwe katika jina la baba toka,toka pepo la ndoa usinitie doa!,nakung'ata kwa mamlaka,mijeledi ya nguvu ikapige mapengo yako!.. uwa baba,kata baba,kamata huyu dada mtie kwenye ndoa aache kuhubiri haya ahangaikie ndoa yake asipeperushe ndege zangu,aache na kiherehere tokaaaaaaaaaa...!!
Miguuu atatumia magongo hahahahahahaaUmesahau na kumvunja na miguu😀
🥰Ukitaka haya mambo ya mahusiano yasikutese yatachukulie katika angle ya ngono zaidi sio future zaidi
😅😅😅Kuna jamaa yangu kaoa mwaka jana. Ss hv wana miezi miwili kila mtu anaishi kivyake ndo wanafile divorce. Bora sikuchanga
Single nimemaanisha ambao hajaolewa na hayupo kwenye uchumba rasmi nimewahesabu ni singleDada nikuulize!
Je kuwa single Kwa namba gani au hata single mother?
Kipi bora uzae na mtu yeyote ili mradi upate mtoto hata mkiachana au mpaka ndoa hata kama umri umeenda ila update mtoto na mtu sahihi?
Ishu ni hakuna kuoa basi!Ukitaka haya mambo ya mahusiano yasikutese yatachukulie katika angle ya ngono zaidi sio future zaidi
Mimi nilikuwa naona hapa labda sijui mtazami wenu wanawake .Single nimemaanisha ambao hajaolewa na hayupo kwenye uchumba rasmi nimewahesabu ni single
Kuhusu kuzaa ni vizuri uzae ukiwa tayari umekubali kuwa mama pia kwenye ndoa Hilo liko wazi japo makosa Huwa yanatokea
Kuna ambao umri umewaacha sana na hawajaolewa siwez kuwazungumzia kwakweli
Ilo haliepukiki makosa yapo walikosea Alafu Hilo naona ni huku tu jf single mother mbona wanaolewa sana huku mtaani mifano ipo ila miak 26 hajachelewa Aliamua tu nazungumzia walio age ya 33 na kuendelea Hao hawawez subiri ndoa chance Yao kupata watoto inapunguaMimi nilikuwa naona hapa labda sijui mtazami wenu wanawake .
Mfano ;umezaa Kwa vile umri umeenda na jamaa bila ya ndoa Sasa baadae ukaja kukutana na jamaa hata kama umri umeenda ila kakupenda ila alipojua una mtoto basi akasema hawezi kukupa,Je nyie mnafikiria nn kuhusu linawaumiza ua mtoto ndo kila kitu?
Maana yupo msichana anapitia Hali kama hiyi alizaa na jamaa akiwa miaka 26 Sasa yupo 33 anataka ndoa ila kila mtu anakaa kisa ana mtoto.
Sawa, Mimi binafsi nilikuwa nawaza kwamba mwanamke akishapata mtoto basi ishu ya kuolewa hana time nayo kabisa na ninavyojua single mothers hawana time ya kuolewa na hawataki Kwa vile wana mtoto au watoto tayar..Ilo haliepukiki makosa yapo walikosea Alafu Hilo naona ni huku tu jf single mother mbona wanaolewa sana huku mtaani mifano ipo ila miak 26 hajachelewa Aliamua tu nazungumzia walio age ya 33 na kuendelea Hao hawawez subiri ndoa Yao kupata watoto inapungua
Sio kweli wengi walizaa Kwa bahat mbaya au lah Kwa kulaghaiwa na wachumba zao wengine waliolewa wakazaa wakaachika nao wote ni single motherSawa, Mimi binafsi nilikuwa nawaza kwamba mwanamke akishapata mtoto basi ishu ya kuolewa hana time nayo kabisa na ninavyojua single mothers hawana time ya kuolewa na hawataki Kwa vile wana mtoto au watoto tayar..
Ishu ni hakuna kuoa basi!
Hahaaaa ungechanga ungetamani wakutumie ela yako kwa mpesa.Kuna jamaa yangu kaoa mwaka jana. Ss hv wana miezi miwili kila mtu anaishi kivyake ndo wanafile divorce. Bora sikuchanga