Single Ladies

kwani wadada ndo wako sahihi? inaonekana kama chanzo cha matatizo ya ndoa kinatokana na wanaume! Mbona siku hizi waharibifu wakubwa wa ndoa ni wanawake! Kiasi hata vijana wanaogopa kuooa.
 
kwani wadada ndo wako sahihi? inaonekana kama chanzo cha matatizo ya ndoa kinatokana na wanaume! Mbona siku hizi waharibifu wakubwa wa ndoa ni wanawake! Kiasi hata vijana wanaogopa kuooa.
Kwakweli sijui Kam Kuna aliesahihi wote tuna mapungufu
 
Tatizo w.ke wa siku hizi mnataka wenye majumba,magari n.k sasa mm kijana wa 20's hyo yote nitayapta wapi?
Munawapoteza wenye upendo wa kweli kwa tamaa zenu tu

Mm ni mpole inshort sipendi malumbano kabisaaaa na m.ke sasa m.ke akijikuta mjuaji unamuacha tu wala hugeuki nyuma

Mpende aliyekupenda usije kumtenda

Akupendae mpendee weee mpe maneno tamuuu
Akuwidhae muwidhe weee mpe maneno tamuuu
Usijigeuze mende wee ukajikausha damuuu
Akupendae mpendee weee mpe maneno tamuuu
 
Oyaa mshamba_hachekwi hii taarabu tuna toboaa au ndo kwisha kazi🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…