Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
Hii ni kweli
Nje ya mitandao, we marry them.
 
Mkuu naunga mkono hoja ila nakurekebisha kidogo sio mwenye watoto watatu angalau mmoja au wawili mwisho kwa amateur.. Ila binti single mother wa kuzaliwa 2000 mwenye mtoto wa miaka 3 anakuwa horny kwanza k iliozaa tamu, mbichi, nyekundu, kubwa, laini n. K

Ngoja niiwekee fremu hii comment
 
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
kwahiyo tuzae kwanza
 
Mkuu naunga mkono hoja ila nakurekebisha kidogo sio mwenye watoto watatu angalau mmoja au wawili mwisho kwa amateur.. Ila binti single mother wa kuzaliwa 2000 mwenye mtoto wa miaka 3 anakuwa horny kwanza k iliozaa tamu, mbichi, nyekundu, kubwa, laini n. K
Hapo mwisho sasa
 
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
Hii kama inaukweli flani....
hivi kwasababu hata ukihudhuria harusi 10 utagundua biharusi 6-8 wanawatoto na wanaume wengine ambao waliwapata kabla...
 
toka ndotoni wapi umeona bikra ya miaka 40...? hizo hangover ndo zinakufadanya uone single mother wa miaka 40 aolewe aachwe dogodogo wa miaka 20! hivi unajua balaa la vitoto vya miaka 20's wewe..? hata nisikuhoji tena we namalizana nawewe ktk namna hii.. pepo toka,navunjavunja nguvu za ibilisi ndani yako,kwa damu ya moto pepo tokaaaa! nang'oa baba ua pepo mchafu ndani ya huyu single mother nateketeza,kamata baba fireeeeeeeeeee...
Ni hangover tu zinamsumbua akapate supu ya moto na chapati 2.
 
Wanakopesha ni wapuuuzi wachache mkuu.ila wengi wametulia kabisa
Study inaonesha wengi ya Singo Mama hutoa tamu Kwa Baba Mtoto/watoto wake hata baada ya kuachana.

Wenye ujasiri wa kutupa jongoo na mtu wake ni wachache sana, huenda ikawa 2/100 🙌
 
Kadiri muda unavyozidi kwenda ndio chance ya kuolewa inakuwa ndogo hasahasa mwanamke anapofikisha 35yrs .Haijalishi ni bikra au anawatoto
Mwanamke akishafika 30 tayari imekula kwake
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
Kila siku Kuna maelekezo mapya kwahiyo tuzae kwanza au tusubiri tuolewe???
usije ukajichanganya mdogo wangu.
Kama bado upo below 30 usije ukazaa kabla ya kuolewa, single mother ni changamoto kwa wanaume wengi na hiyo ipo duniani kote. Asije akakudanganya mtu.

Ukiwa single mother kuna aina ya wanaume hutokuwa na uwezo wa kuwachagua labda uwe na pesa au kazi nzuri.
utachagua bora liende jambo ambalo sio wewe tuu ambaye hautakuwa na furaha bali hata huyo atakayekuoa
 
Back
Top Bottom