Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

Hii ni kweli
Nje ya mitandao, we marry them.
 

Ngoja niiwekee fremu hii comment
 
kwahiyo tuzae kwanza
 
Hapo mwisho sasa
 
Hii kama inaukweli flani....
hivi kwasababu hata ukihudhuria harusi 10 utagundua biharusi 6-8 wanawatoto na wanaume wengine ambao waliwapata kabla...
 
Ni hangover tu zinamsumbua akapate supu ya moto na chapati 2.
 
Wanakopesha ni wapuuuzi wachache mkuu.ila wengi wametulia kabisa
Study inaonesha wengi ya Singo Mama hutoa tamu Kwa Baba Mtoto/watoto wake hata baada ya kuachana.

Wenye ujasiri wa kutupa jongoo na mtu wake ni wachache sana, huenda ikawa 2/100 🙌
 
Kadiri muda unavyozidi kwenda ndio chance ya kuolewa inakuwa ndogo hasahasa mwanamke anapofikisha 35yrs .Haijalishi ni bikra au anawatoto
Mwanamke akishafika 30 tayari imekula kwake
 
Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
Single mamaa mmekuja kutiana moyo 😂
 
Kila siku Kuna maelekezo mapya kwahiyo tuzae kwanza au tusubiri tuolewe???
usije ukajichanganya mdogo wangu.
Kama bado upo below 30 usije ukazaa kabla ya kuolewa, single mother ni changamoto kwa wanaume wengi na hiyo ipo duniani kote. Asije akakudanganya mtu.

Ukiwa single mother kuna aina ya wanaume hutokuwa na uwezo wa kuwachagua labda uwe na pesa au kazi nzuri.
utachagua bora liende jambo ambalo sio wewe tuu ambaye hautakuwa na furaha bali hata huyo atakayekuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…