Single Maza ni rahisi kuolewa kuliko ambae hajazaaa

Mii huwa sichagui
..moyo unapoenda ndo huko huko kigezo cha single mather au multiple mather atajua yeye.

Kuna kauli sijui atakutana na baba wa mtoto sijui hili na lile hilo ni suala la kujitambua tuu kama ukipata mwenzangu na mimi akili tope ndo hivo

Ila ukipata mdada anajielewa hawezi rudia matapishi kamwe..

Na jf humu wengi wanaponda single mama ila nyuma ya pazima ndo wanaongozwa kusumbuliwa..

Unakuata faza anamkamia single mama mpaka unasema khaaa hivi mpaka wewe mkuu mbona ni mtu na heshima zako
 
umemaliza chief
 
Kadiri muda unavyozidi kwenda ndio chance ya kuolewa inakuwa ndogo hasahasa mwanamke anapofikisha 35yrs .Haijalishi ni bikra au anawatoto
Na katika umri huo, mwanamke ana muhitaji sanya mwanaume.anahitaji zaidi tendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…