wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Niambie Smile watu kama hawa unawaweka kundi gani?? Nampigia kutoka kote huku natumia pesa ya malkia halafu mtu mwenyewe hapokeianakataa bahati huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie Smile watu kama hawa unawaweka kundi gani?? Nampigia kutoka kote huku natumia pesa ya malkia halafu mtu mwenyewe hapokeianakataa bahati huyu
bahati yake mbaya.kampeperusha ndege wake mwenyewe.ila si upm jamani ? ana masters huyu atakufaa sana.ngoja nitafute certificate mwenzangu na mimiNiambie Smile watu kama hawa unawaweka kundi gani?? Nampigia kutoka kote huku natumia pesa ya malkia halafu mtu mwenyewe hapokei
Hahahhhah, nawasubiri kkwa hamu
bahati yake mbaya.kampeperusha ndege wake mwenyewe.ila si upm jamani ? ana masters huyu atakufaa sana.ngoja nitafute certificate mwenzangu na mimi
aiyaaa nilikuwa nakumendea wewe!daaah naona huyu mdau kanipeperushia ndege wanguNna vigezo vyoote...Riwa naopoa mwaka huu! Ngoja nikaongeze vocha nianze kuimbisha...I hope it wont be like a job interview!
mi sijambo bwana.nipo nalima kijijini huku njoo basi mi natafuta mwenye kujua kulima tu,ajue aina za udongo,majira ya kilimo, mbegu bora nkHuo ndio myandao bana, ngoja na mimi nitafute mkulima mwenzangu maana is and was za wasomi siziwezi tehe tehe tehe.
Muzima lakini weye????
aiyaaa nilikuwa nakumendea wewe!daaah naona huyu mdau kanipeperushia ndege wangu
too late sasa,ndo hivihivi umeniponyokaSiku zote wanitolea udenda kimya kimya Smile!? Usione soo...
too late sasa,ndo hivihivi umeniponyoka
mi sijuagi kucheza na deadline,awali ni awali wanasemaga hakuna awali mbovu bwana alowai kawai!Its never too late...bado natafuta vocha, you still have few more minutes to change my mind..PM!
LOOKING FO A LIFETIME PATNER(HUSBAND).
Name: Mpweke wise
Age: 29
Occupation: businesswoman/enterpreneur
Education: Bsc, Msc
Religion: Christian (RC)
Height: 170cm
Hobbies: computerising, reading, travelling, n music
Additional information: A very good looking mother of one, independent, loving and caring, God fearing, love to have fun. Kwa yeyote aliye serious anayehitaji mke aliye mwema, check me kwenye 0764529787. Lakini only if unameet vigezo vifuatavyo:
Age: 30 - 45
Occupation: Any
Religion: must be a Christian
Education: at least kadegree kamoja
Height: asipungue 168cm[SUB]Single fathers watapewa kipaumbele!
[/SUB]Good luck!!
Mimi nimepungukiwa kimoja tu umri, i'm 27yrs!
Tuambie kwanza huyo baba wa mtoto yuko wapi! Kama amekufa ni kwa ugonjwa gani, ikiwezekana weka death certificate yake,kama amekuacha kisa nini?
ungekua mke mwema ucngezeeka bla mume una ttz thts y umezalshwa ukaachwa!!ni mtazamo tuLOOKING FO A LIFETIME PATNER(HUSBAND).
Name: Mpweke wise
Age: 29
Occupation: businesswoman/enterpreneur
Education: Bsc, Msc
Religion: Christian (RC).
Height: 170cm
Hobbies: computerising, reading, travelling, n music
Additional information: A very good looking mother of one, independent, loving and caring, God fearing, love to have fun. Kwa yeyote aliye serious anayehitaji mke aliye mwema, check me kwenye 0764529787. Lakini only if unameet vigezo vifuatavyo:
Age: 30 - 45
Occupation: Any
Religion: must be a Christian
Education: at least kadegree kamoja
Height: asipungue 168cm[SUB]Single fathers watapewa kipaumbele
[/SUB]Good luck!!
ungekua mke mwema ucngezeeka bla mume una ttz thts y umezalshwa ukaachwa!!ni mtazamo tu
Hivi kumbe 29 yrs nimezeeka eeh? na kumbe wanawake wote waliozaa kabla ya ndoa wana tatizo sio?