Single men must read this..

Single men must read this..

LOOKING FO A LIFETIME PATNER(HUSBAND).

Name: Mpweke wise
Age: 29
Occupation: businesswoman/enterpreneur
Education: Bsc, Msc
Religion: Christian (RC)
Height: 170cm

Hobbies:
computerising, reading, travelling, n music
Additional information: A very good looking mother of one, independent, loving and caring, God fearing, love to have fun. Kwa yeyote aliye serious anayehitaji mke aliye mwema, check me kwenye 0764529787. Lakini only if unameet vigezo vifuatavyo:

Age: 30 - 45
Occupation: Any
Religion: must be a Christian
Education: at least kadegree kamoja
Height: asipungue 168cm
[SUB]Single fathers watapewa kipaumbele!

[/SUB]
Good luck!!

I'm kinda interested. A pic speaks a thousand words
 
Mi babu ila sina mke kuna hobie yako sijaipenda ya kwako “kussfiri” pita kushoto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Huko kote ulikosoma hadi Msc ulikuwa unasoma peke yako? Kama watu uliowaona na wao wakakuona kwa macho hawakuwa na sifa unazozitaka unatarajia kuwapata kwenye mtandao? Kumbuka 'Aoae mbali na kwao asipodanganya hudanganywa'.
LOOKING FO A LIFETIME PATNER(HUSBAND).

Name: Mpweke wise
Age: 29
Occupation: businesswoman/enterpreneur
Education: Bsc, Msc
Religion: Christian (RC)
Height: 170cm

Hobbies:
computerising, reading, travelling, n music
Additional information: A very good looking mother of one, independent, loving and caring, God fearing, love to have fun. Kwa yeyote aliye serious anayehitaji mke aliye mwema, check me kwenye 0764529787. Lakini only if unameet vigezo vifuatavyo:

Age: 30 - 45
Occupation: Any
Religion: must be a Christian
Education: at least kadegree kamoja
Height: asipungue 168cm
[SUB]Single fathers watapewa kipaumbele!

[/SUB]
Good luck!!

mi sijambo bwana.nipo nalima kijijini huku njoo basi mi natafuta mwenye kujua kulima tu,ajue aina za udongo,majira ya kilimo, mbegu bora nk

Kama ni mkulima basi tupi pamoja, itabidi nije nitembelee shamba lako ili nijifunze baadhi ya nisiyoyajua katika kilimo changu.
 
Mmh mi vyote nafit hivyo vigezo vyako lakin lielimu lako ndio linatisha mi mwoga sana wa mfuo JIKE.
msiogopa karibuni
 
LOOKING FO A LIFETIME PATNER(HUSBAND).

Name: Mpweke wise
Age: 29
Occupation: businesswoman/enterpreneur
Education: Bsc, Msc
Religion: Christian (RC)
Height: 170cm

Hobbies:
computerising, reading, travelling, n music
Additional information: A very good looking mother of one, independent, loving and caring, God fearing, love to have fun. Kwa yeyote aliye serious anayehitaji mke aliye mwema, check me kwenye 0764529787. Lakini only if unameet vigezo vifuatavyo:

Age: 30 - 45
Occupation: Any
Religion: must be a Christian
Education: at least kadegree kamoja
Height: asipungue 168cm
[SUB]Single fathers watapewa kipaumbele!

[/SUB]
Good luck!!

Sijui niapply hapa, nahisi interview inaweza ikanishinda, kama vipi #pass
 
Hahahahahahahahahahah!
Mapenzi siku hizi kigezo ni degree?
Mi simo napita tu!!
Shule muhimu dada, sasa mtu ana Masters achukue std seven kuna maelewano humo ndani. Inabidi uwezo wa kufikiri uendane.
 
Back
Top Bottom