Single men must read this..

Niambie Smile watu kama hawa unawaweka kundi gani?? Nampigia kutoka kote huku natumia pesa ya malkia halafu mtu mwenyewe hapokei
bahati yake mbaya.kampeperusha ndege wake mwenyewe.ila si upm jamani ? ana masters huyu atakufaa sana.ngoja nitafute certificate mwenzangu na mimi
 
Nna vigezo vyoote...Riwa naopoa mwaka huu! Ngoja nikaongeze vocha nianze kuimbisha...I hope it wont be like a job interview!
 
Hahahhhah, nawasubiri kkwa hamu

Kuchovya kumu au mpaka.....

Back to the point, naamini utapata mume unayemtaka japokuwa unahitajika kuwa makini sana maana ma single boy wanaoweza kupretent wamejaa.

Kwa kuwa umeanzisha safari, neno moja tu linakutosha SAFARI NJEMA.
 
bahati yake mbaya.kampeperusha ndege wake mwenyewe.ila si upm jamani ? ana masters huyu atakufaa sana.ngoja nitafute certificate mwenzangu na mimi

Huo ndio myandao bana, ngoja na mimi nitafute mkulima mwenzangu maana is and was za wasomi siziwezi tehe tehe tehe.

Muzima lakini weye????
 
Nna vigezo vyoote...Riwa naopoa mwaka huu! Ngoja nikaongeze vocha nianze kuimbisha...I hope it wont be like a job interview!
aiyaaa nilikuwa nakumendea wewe!daaah naona huyu mdau kanipeperushia ndege wangu
 
Huo ndio myandao bana, ngoja na mimi nitafute mkulima mwenzangu maana is and was za wasomi siziwezi tehe tehe tehe.

Muzima lakini weye????
mi sijambo bwana.nipo nalima kijijini huku njoo basi mi natafuta mwenye kujua kulima tu,ajue aina za udongo,majira ya kilimo, mbegu bora nk
 
Its never too late...bado natafuta vocha, you still have few more minutes to change my mind..PM!
mi sijuagi kucheza na deadline,awali ni awali wanasemaga hakuna awali mbovu bwana alowai kawai!
 
 
vipi mama nina kadegree ka kutibu mbwa nimesomea medical ila uko teari tuka msend kid wako vitengo vya kulelea yatima hicho ndo kigezo na mimi
 
M-PESA Till unazingua watu! By the way just quick analysis nadhani una Multiple Personality Disorder...pole!
 
I am now reachable guys, unajua binadamu tunatofautiana sana kuna mtu from nowhere alianza kunipigia mara ya kwanza tukaongea vizuri then baadae akaanza simu za matusi na kusema mambo mengi as if ananijua, kanipa matusi mpaka ikabidi nimpe true identity yangu, kwa jinsi nilivyomwelewa amefananisha particulars zangu na one of his ex, ila nashukuru amenielewa sasa.

sijapost hii topic kama masikhara, niko serious na yeyote aliye serious tuwasiliane.
 
Tuambie kwanza huyo baba wa mtoto yuko wapi! Kama amekufa ni kwa ugonjwa gani, ikiwezekana weka death certificate yake,kama amekuacha kisa nini?

nitamweleza mtu personally atakaewasiliana na mimi, siwezi kumuanika hapa.
 
ungekua mke mwema ucngezeeka bla mume una ttz thts y umezalshwa ukaachwa!!ni mtazamo tu
 
Ah...hutaki Kuwa mke wa pili ka mkulima kama Miami....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…