Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Yote matani mwongoo unamwambia mtu kitu hufanyi so acha😨 uongo.Mimi ni mwongo, nina matani, au sipo serious?
Niambie moja nijirekebishe.
SijakuelewaDah yaani nimewaza mbali sana huo ugumu wako ni kama mtu anaemenya machungw ndani ya bus. Hope iyo service tz hatuna mama lasivyo mrejesho wake cjui tu
Ukishampata utaelewa tu nachomanisha.Sijakuelewa
Haya nitaacha eeeh. Ukiona nimecomment kwenye uzi wako hata usijihangaishe kuifikiria hiyo comment ujue nimekosa cha kufanya hapa nilipo nimeamua kupotezea muda hapa.Yote matani mwongoo unamwambia mtu kitu hufanyi so acha[emoji32] uongo.
Tunawasubiria amalizane na mahandsome nasi tuingie.Mahandsome kazi kwenu
Ni kweli halafu picnic hapo watu wameendaga wakiwa certificate.Haya nitaacha eeeh. Ukiona nimecomment kwenye uzi wako hata usijihangaishe kuifikiria hiyo comment ujue nimekosa cha kufanya hapa nilipo nimeamua kupotezea muda hapa.
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Wewe ni mnyama??unafanya nini huko??Njoo Ngorongoro utanikuta
Huku ndo kuna maishaWewe ni mnyama??unafanya nini huko??
Unapenda Charting? ukianza kupenda chatting nishtueSitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Sana napenda ujue masaa ishirini na nneUnapenda Charting? ukianza kupenda chatting nishtue
Sana napenda ujue masaa ishirini na nne
Charting ndio nini wewe mshamba.
Neno sahihi ni chatting. Waambie na wenzako.
Aaah aisee!Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Upo kivipi??Nipo