Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Ahahahahha Mwambie achangamke. Humuoni DEMISSBaby Kama apite hapa aone anavyofeli kuniacha na hiki kimeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahha Mwambie achangamke. Humuoni DEMISSBaby Kama apite hapa aone anavyofeli kuniacha na hiki kimeo
Machalii wa R hawana tatizo kudate nae inategemea na ubongo wake tuuIssue ni kwamba Arusha si kuna Machalii. Sasa wewe unaweza Date na chalii wa R??
Waache kujisifia sasa. Kama hadi binti anakuja kuomba kampani wao wapo tuWameshindwa kwa kweli
Anasema hataki kunipa simu nitawasiliana na mabeb wengine nihangaike na hii hii tuAhahahahha Mwambie achangamke. Humuoni DEMISS
Nataka somo LA kumiliki ID nyingine na jinsi wadau wasinishtukie..Kuzichezesha ID Nyingi nyingi ni kazi kidogo wachache tumeweza, mi binafsi sijawahi kukuamini kabisa we jamaa
Anasema hataki kunipa simu nitawasiliana na mabeb wengine nihangaike na hii hii tu
Nataka somo LA kumiliki ID nyingine na jinsi wadau wasinishtukie..
I swear. Ninayo hii moja tu. Sema nimeona Kama natakiwa niwe nayo ya pili hivi. Shida naona kwenye uandishi si nitashtukiwa? Au nawaza ile siku namtemea MTU nyongo sio za nchi hii Mara paaaap mods wanamerge ID nitaweka wapi sura yangu miehahahha kwamba unayo moja tuu? hahah its impossible like cold day in hell, unanihadaa
I swear. Ninayo hii moja tu. Sema nimeona Kama natakiwa niwe nayo ya pili hivi. Shida naona kwenye uandishi si nitashtukiwa? Au nawaza ile siku namtemea MTU nyongo sio za nchi hii Mara paaaap mods wanamerge ID nitaweka wapi sura yangu mie
Hili tukio ni kama kupatwa kwa mweziI swear. Ninayo hii moja tu. Sema nimeona Kama natakiwa niwe nayo ya pili hivi. Shida naona kwenye uandishi si nitashtukiwa? Au nawaza ile siku namtemea MTU nyongo sio za nchi hii Mara paaaap mods wanamerge ID nitaweka wapi sura yangu mie
Eti kwamfano mimi nina shida gani. Huwezi ku date na mimi kwani?Machalii wa R hawana tatizo kudate nae inategemea na ubongo wake tuu
Muwe mnawapa mirejesho imani irudi [emoji3][emoji3]Waache kujisifia sasa. Kama hadi binti anakuja kuomba kampani wao wapo tu
Sishindwi Kama kuna care za kutoshaEti kwamfano mimi nina shida gani. Huwezi ku date na mimi kwani?
Sindio, mwanamke lazima uwr na matunzo bana.Sishindwi Kama kuna care za kutosha