Single Men

Single Men

Kuzichezesha ID Nyingi nyingi ni kazi kidogo wachache tumeweza, mi binafsi sijawahi kukuamini kabisa we jamaa
 
hahahha kwamba unayo moja tuu? hahah its impossible like cold day in hell, unanihadaa
I swear. Ninayo hii moja tu. Sema nimeona Kama natakiwa niwe nayo ya pili hivi. Shida naona kwenye uandishi si nitashtukiwa? Au nawaza ile siku namtemea MTU nyongo sio za nchi hii Mara paaaap mods wanamerge ID nitaweka wapi sura yangu mie
 
Kama ni kweli usemayo, baki huko huko majibu yako hayahitaji uwe na ID zingine za kunyea watu wakiziunga si basi kwani vipi
 
Hivi kumbe kuna Ku merge ID??
I swear. Ninayo hii moja tu. Sema nimeona Kama natakiwa niwe nayo ya pili hivi. Shida naona kwenye uandishi si nitashtukiwa? Au nawaza ile siku namtemea MTU nyongo sio za nchi hii Mara paaaap mods wanamerge ID nitaweka wapi sura yangu mie
Hili tukio ni kama kupatwa kwa mwezi
 
Back
Top Bottom