Single Men

Single Men

Dah! Hatari sana

1. Ndiyo maana huwa naogopa PM za wanaojiita warembo japo napenda sana nifahamiane na baadhi yao.
2. Kwa kukutania mtandaoni siwezi kukueleza kazi yangu. Hadi tutapoonana live labda naweza kukuambia. Nitakueleza mkoa nilipo ila si kazi yangu.
3.
Kati ya wale wanaotumia majina ya kutukuza uzuri wao wachache mno wanakuaga Kama hayo majina.
 
Back
Top Bottom