Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bainokla ndo nini mkuu?? Hahahahahaaa...Umalaya uko kwenye forms nyingi sana nowdays.
By the way huna uzuri wowote. Humu JF wanawake wazuri ni wa kuwatafta kwa bainokla.
Bainokla ndo nini mkuu?? Hahahahahaaa...
HahahahahahaaaaaaaHaya ndio matatizo ya mwanaume kuwa na ID ya kike unakuta mtu anahangahika kama anatembelewa na nyungunyungu kwny matako
Kati ya wale wanaotumia majina ya kutukuza uzuri wao wachache mno wanakuaga Kama hayo majina.Dah! Hatari sana
1. Ndiyo maana huwa naogopa PM za wanaojiita warembo japo napenda sana nifahamiane na baadhi yao.
2. Kwa kukutania mtandaoni siwezi kukueleza kazi yangu. Hadi tutapoonana live labda naweza kukuambia. Nitakueleza mkoa nilipo ila si kazi yangu.
3.
Usiwasikilize Hawa kakutane na mtoto mzuriNaona wazee baba mmefunguka vya kutosha.
Nilishawasha namba 4 nimkute picnic tupatembili tatu mmeshanikatisha tamaaa.
Hahahahaahalafu ukute ndo wale sura za baba!... kula vya watu ule bure..Kuliwa usiliwe!...
kila la kheri...
Eiish.. Lugha inanipiga chenga hii..Binocular ni DARUBINI boss
Wanaume wa mkoani wamezingua hapa...Wewe sio katoto wala nini, wewe ni mmama.. Usilaghai watu.
Arusha mmeshindwa kumtoa stress huyu jimama!! Aibu
Hahahahahaaa.Poa msalimie Satan
Alafu waambie waalimu waongeze viboko na kitabu ili uweze kutofautisha kati ya Saturn na Satan.
Wanaume wa mkoani wamezingua hapa...
Kwa kweli.. Binti hawezi kosa kampani na wanaume wapo hukoAhahahha. Hapa hamna kitu mama. Wanaume wa jF ambao wapo Arusha watatupa mrejesho
Holla amigo! Ulijificha wapi siku hizi mbili tatu sijakudere kabisa?Hahahahahaaa.
Nipo bestie. Simu inazingua inaninyima hata raha kuingia huku.. Leo nashinda hukuHolla amigo! Ulijificha wapi siku hizi mbili tatu sijakudere kabisa?
Sasa sisi wanaume kazi yetu ni nini??Nipo bestie. Simu inazingua inaninyima hata raha kuingia huku.. Leo nashinda huku
Pole mkuu, nikajua umeenda kumsaka Mo.Nipo bestie. Simu inazingua inaninyima hata raha kuingia huku.. Leo nashinda huku
Kwa kweli.. Binti hawezi kosa kampani na wanaume wapo huko
Wanaume wa mkoani wamezingua hapa...
Baby Kama apite hapa aone anavyofeli kuniacha na hiki kimeoYani mzigua unakua na simu mbovu??Sasa sisi wanaume kazi yetu ni nini??
Hahahahahaaa. Yani nikiona mwarabu sasa hivi naangalia kwa umakini naweza bahatika kuwa wa kwanza kumuona Mo from mafichoni nikajishindia bingoPole mkuu, nikajua umeenda kumsaka Mo.