Single Men

Single Men

Dah yaani nimewaza mbali sana huo ugumu wako ni kama mtu anaemenya machungw ndani ya bus. Hope iyo service tz hatuna mama lasivyo mrejesho wake cjui tu
 
Yote matani mwongoo unamwambia mtu kitu hufanyi so acha[emoji32] uongo.
Haya nitaacha eeeh. Ukiona nimecomment kwenye uzi wako hata usijihangaishe kuifikiria hiyo comment ujue nimekosa cha kufanya hapa nilipo nimeamua kupotezea muda hapa.
 
Ni kweli halafu picnic hapo watu wameendaga wakiwa certificate.
Saizi new places bhana za magarden
 
Halafu mwisho wa siku unakuja kuta mleta mada ni mwanaume halafu anakuteka si mchezo
 
Njoo Ngorongoro utanikuta
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
 
Unapenda Charting? ukianza kupenda chatting nishtue
 
Sitafuti mwanaume wakuoa wakampani kama uko arusha nitakuwa ninastress sana kwa sababu ya mitihani if so natafuta kampani ila arusha ndio advantage kabisa.
Just company for a company.
Kama mimi nikatoto kazuri apate lakatoto kabaya no sex.
Just a company
1. Awe handsome
2.Ajue kumtoa mtu stress
3.Must be polite nice voice
4.someone who knows how to behave
5.Awe serious kunipa company couse sipendi kudate na wahumu napenda charting only mtaani hawajanichoka bado.
Muwe na usiku mwema
Aaah aisee!
 
Back
Top Bottom