To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana!
We bwana wee kumbe nimepatikana, yaani Ile kitu kutiki tu jamaa akasema "katoe mimba" nyie wadada wenzangu mnaotupondea singlemoms. Siyo kwamba sikuweza kumeza P2 au miso-p au kwenda hospital kukwanguliwa noo, ningeweza ila tu huyu kiumbe hakuwa na hatia.So mwishowe nikazaa huyu son wangu, jamaa alichoniambia ni kuwa umezaa basi umejipanga kulea I mean hajawahi toa hata Senti kulea mwanangu then Leo hii anajitutumua eti anataka mwanaye.Teh!
Sasa point yangu ni ipi ya kuwakusanya wamama wenzangu...ni hivi...hatujaua,tumezaa,tunalea....na huenda tukawa tumebahatika kupata wanaume wema wanaotupenda siye na wanetu. Sasa ninachokuuliza hivi wenzangu mnawezaje kuendelea kuwasiliana na mwanaume aliyeshindwa kukupa thamani ya kuweka ndani na akakuacha na mtoto. Mnawezaje kuvua nguo tena Kwa mwanaume ambaye si mumeo Yaan Ex tena aliyekudharaulisha? Aisee,mwenzenu nimeshindwa. Nilimwambia nitakuwahisha kunizoea😖🤨
NB: Sijawahi mjaza sumu mwanangu hicho ndicho nilichoshinda namwacha akue yeye ndo atachambua magugu na ngano. Hongereni kwa kupambana wanawake wenzangu kulea ni kaz kweli.
Nawapenda sana😍😘